Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Na pia sidhani kama watakua huru kivile kwa maana bado pia kuna udini ambapo itawabana waandishi au waandaaji wa vipindi
unapenda kuona ofisi ya wanaovaa vimini siyo?
Zinafunguka wapigie simu wakuhamishie azam play by default wameweka watu wote kwenye 15000. Mie nazipata baada ya kahamishiwa azam play
Kwa studio kama iyo hao watangazaji sasa inabidi wakajifunze kwa wenzao wa citizen ya kenya wanavyojiachia kwa kutangaza na lugha sahihi . Sio hapa watangazaji hawajui hata kutofautisha R NA L yani huwa inakera sana..ukiangalia news citizen yani unasikia raha kwa kiswahili chao sahihi
Kwa nini kila anapotajwa bakhresa watu wanaharibu kwa kuleta issue za udini? Wabongo sisi tuna hitilafu si bure. Azam endelea kuwekeza ht mie mkatoliki nafaidika
Wagalatia bhanah sijui walitaka kadinal pengo ndo awe meneja wa azam ndo waridhike, hivi mengi kaajiri waislaam wangapi pale? Sbb qualification ya kuajiriwa ipp media ni uwe mchaga tena mkristo
Tatizo lako kubwa ni malezi uliyoyapata kutoka kwa majirani, maana mama alikuwa bize kukutafutie kula. Jee, baba pia humjuwi au ndiyo anashinda na kukesha vilabuni?
mkuu citizen unaingalia kupitia kisambuzi gani? mara ya mwisho kuiona ilikuwa lini?
jipendekeza sana kwa jk lakini kumbuka kuwa umechelewa, hana muda tena wa kuchagua wakuu wa wilaya wala wabunge wa viti maalumu. kazana kuosha papuchi yako subiri raisi ajae umgawie na kumsifia kama una nyota utapewa ila kama una nyota kama ya wema sepetu utaishia kuliwa. kazana sana kunyoa mav,,,uzi ***** zako wewe mbibi na k yako yenye mviTatizo lako kubwa ni malezi uliyoyapata kutoka kwa majirani, maana mama alikuwa bize kukutafutia chips mayai. Jee, baba pia humjuwi au ndiyo anashinda na kukesha vilabuni?
aaaahaaaaa stupid indeed daah nicheke tu kitu gani sasa hapo ulichorusha gizani aaaahaaaaaaaaa ....Kweli Nimeamini UKITUPA JIWE GIZANI NA UKISIKIA MTU ANALALMIKA YALAAAAAAAH! BASI UJUE LIMEMPATA. Dstv Ya Kuangalia VIBANDA VYETU VILE UMIZA?
IDIOT? Kwa uandishi wako na wewe ni msomi? wagalatia mna kazi sana.