Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

yaani ni kwamba mgombea wa ccm katoga sikio, so wanasema ni muhuni hafai kuwa mbunge wa watu wastarabu kama wameru so wasimchague.

Amesema kama katoboa sikio aende Uingereza kwa Cameron haha loh ndiyo maana Pinda anamgwaya sana.
 
Hukumuelewa tu chama kimefilisika hiki, ha ha haaaaa

Ha ha haaaaaaaaaaa kweli ZCCM hamwoni. Tatizo lenu huwa mnatumia bila mahesabu! Mkutano mmoja milioni 100 na kampeni bado! Uchaguzi mara ya pili 120m hata haya hamwoni. Sasa naskia mnatembeza bakuli! Muulize Kiliginyi aliyetumwa na Mwigulu kukusanya fweza kwa yule jamaa pale Dar ni za nini? Za Kampeni ama kuna kuna ndoa anataka kuivunja!
 
yaani ni kwamba mgombea wa ccm katoga sikio, so wanasema ni muhuni hafai kuwa mbunge wa watu wastarabu kama wameru so wasimchague.

Wanaziba na super glue pale! Jumatatu anakuwa fresh! we utaona!
 
Jamani nimemsikiliza huyu kiongozi wa chadema muda mrefu lakin sijapata point yoyote ya kunishawishi kuwachagua!!

Wewe unaumwa ugonjwa fulani jina nimesahu,ila uwa unaathiri ubongo...na kama usipowai kutibiwa mara nyingi unaathiri uwezo wa kufikiri na kutenda mambo...na cha ajabu mara nyingi matokeo ya huu ugonjwa ukikuathiri kwa muda mrefu unaishia kuvaa chupi kichwani...na wewe ndipo unapoelekea...wai kwenye matibabu.
 
..nimeanza kusikiliza wakati wa hotuba ya Mbowe.

..samahani lakini naona kama ilikuwa imekosa maandalizi.

..halafu hotuba yake sikuipenda na zaidi ilinichosha.

..binafsi sipendi kusikia MUNGU akitajwa, tena mara nyingi, katika mikutano ya kisiasa.

..zaidi, ingependaza kama Joshua Nassari, mgombea ubunge, angepewa muda mrefu zaidi kuzungumza.

..hata Nassari naye hotuba yake ilikuwa ya kulipua-lipua tu.

..hili ilikuwa ni nafasi ya kipekee kwa Nassari kuwapa wananchi wa Arumeru sababu za kwenda kumpigia kura.

..sote tujiulize, wananchi waliohudhuria mkutano ule wameondoka na kitu gani cha kuwahasisha na kuwasimulia wenzao waliokosa kuhudhuria mkutano ule kiasi kwamba siku ya uchaguzi wataacha shughuli zao na kwenda kumpa kura Joshua Nassari?

NB:

..the +ve thing ni kwamba muda wa kujirekebisha bado upo.

Naunga mkono hoja maandalizi yalikuwa makubwa lakini delivery haikukidhi haja ilikuwa na mapungufu sana.

Mwenyekiti Mbowe hutuba yake haikusisimua haikuwa na jipya.
ilikuwa ya kawaida sana tena haikuwa na maandalizi.
Kijana hakupata nafasi ya kutosha.
 
Ufunguzi ulikuwa Babu kubwa sana Mbowe anasema Mbunge wao mmoja ni sawa na wabunge wa Magamba thelathini. and i think ni kweli kwasababu walipitisha sheria ya mabadiliko ya Katiba ikafanyiwa mabadiliko marekebisho hata kabla ya kuanza kutumika
 
Jamani nimemsikiliza huyu kiongozi wa chadema muda mrefu lakin sijapata point yoyote ya kunishawishi kuwachagua!!
kwani akina Zito, Mnyika, Halima Mdee, Msigwa, Nyerere na wabunge wengine makini uliwachagua wee. Wewe kamchague prof maji marefu aka ndumba. Ya cdm waachie chadema.
 
Well covered, mwanza walirudisha umeme saa kumi na nusu hivyo tuliungana na wanachadema moja kwa moja.
 
Shukran dubu
UMNERIPOTI VIZURI SANA!!!
Short and very very clear.
 
kuna ugonjwa alisema rev.mtikila ccm wanaumwa,anza kusadiki kama mtu anasema hajaona point ya kiongozi wa cdm,ya kumshawishi awchague cjui alitaman kusikia nini.?
 
Ahsante sana dubu. Pamoja sana. It's time for change whether they like it or not!
I wish ningekuwa Tz this time.

nasari anasema wanafunzi wanaenda kila mwaka na dawati je wanapo maliza wanaondoka na madawati yanaenda wapi?
Naomba Muniweke kwenye maombi. kamaliza kwa kusema
"TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU".
Helkopta ya chadema inamaliza kwa show ya kupiga salakasi na kuzunguka angani kimanjonjo ikiwa na rubani tu mguu nje. watu wamefurahi, na Uzinduzi wa kampeni ndo umekamilika. na mimi sina la ziada tofauti na kuwatakia kampeni njema.
kuto hapa getto na mimi reporter wenu DUBU wa jamii forums. ova
 
Acha kuhadaa watu....wana jf wanataka link ambayo wanaweza kusikilioza live na siyo hicho kipande cha dk 2 kilichorekodiwa...kama hauna suluhisho la jinsi ambavyo watu wanaweza kusikiliza live online uwe wazi!!!!!
acha tuendelee na chengachenga hizi za star tv na update zinazokuja hapa jamvini na siyo kutudanganya hapa

Usilalamike au kulaumu bila sababu mie niko europe lakini nimeipata radio vizuri sana kwa io link aliotoa ivyo ni wa kumshukuru kama internet yako ilikuwa na matatizo sawa. usilalamike
 
Wananchi wameonyesha muitikio wa kweli na upendo wa dhati kwa CDM.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Amesema kama katoboa sikio aende Uingereza kwa Cameron haha loh ndiyo maana Pinda anamgwaya sana.

halafu ujue lema alivyokomaa kisiasa,hajamtaja siyoi jina,ni zengwe tosha la siyoi kwa wameru
 
Haya mwigulu nchemba pokea salam za usa river,na la kuongeza ni kwamba tumefanya msafara wa cdm mpaka kwa mrefu jioni hii,jamaa wamejipanga road Utadhani anapita KIONGOZI WA TIBET DALAI LAMA.VHVA CDM
 
..nimeanza kusikiliza wakati wa hotuba ya Mbowe.

..samahani lakini naona kama ilikuwa imekosa maandalizi.

..halafu hotuba yake sikuipenda na zaidi ilinichosha.

..binafsi sipendi kusikia MUNGU akitajwa, tena mara nyingi, katika mikutano ya kisiasa.

..zaidi, ingependaza kama Joshua Nassari, mgombea ubunge, angepewa muda mrefu zaidi kuzungumza.

..hata Nassari naye hotuba yake ilikuwa ya kulipua-lipua tu.

..hili ilikuwa ni nafasi ya kipekee kwa Nassari kuwapa wananchi wa Arumeru sababu za kwenda kumpigia kura.

..sote tujiulize, wananchi waliohudhuria mkutano ule wameondoka na kitu gani cha kuwahasisha na kuwasimulia wenzao waliokosa kuhudhuria mkutano ule kiasi kwamba siku ya uchaguzi wataacha shughuli zao na kwenda kumpa kura Joshua Nassari?

NB:

..the +ve thing ni kwamba muda wa kujirekebisha bado upo.

mkuu unaweza kuwa na hoja ila ni kwamba cku ya ufunguzi inakuwa na wasemaji wengi hivyo Muda haukutosha jamaa kudadavua mambo yote so it was just an introductory part
 
Back
Top Bottom