Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
afisa usalama wa chadema wamefanya kazi ya ziada kwa sababu kila mmoja anataka amsalimie Joshua na Mbowe waliposhuka kwenye helkopta.
Dubu niko na wewe hadi mwisho wa mkutano kwa updates pls
afisa usalama wa chadema wamefanya kazi ya ziada kwa sababu kila mmoja anataka amsalimie Joshua na Mbowe waliposhuka kwenye helkopta.
mimi nasikiliza live....kuna mtu ana tatizo? na hiyo link niliyotoa/
Mkuu hiyo link haifanyikazi mbona?
maelezo ni haya ili kupata kinachojiri huko arumeru live online
Nenda kwenye Start,
All Programs,
Select Window Media Player,
Bonyeza Control "U" weka Link hii..
http://199.16.186.44:8523/stream?.wma