Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
CCM wametumia milioni zaidi ya 200 kumpata Sioi CHADEMA milioni 6.2
Jamani nimemsikiliza huyu kiongozi wa chadema muda mrefu lakin sijapata point yoyote ya kunishawishi kuwachagua!!

Wote hawa wasindikizaji!
Ushindi upo CCM!
kuna mtu mwingine anapata shida kusikiliza live?......akonai anaongea sasa hivi
Acha kuhadaa watu....wana jf wanataka link ambayo wanaweza kusikilioza live na siyo hicho kipande cha dk 2 kilichorekodiwa...kama hauna suluhisho la jinsi ambavyo watu wanaweza kusikiliza live online uwe wazi!!!!!
acha tuendelee na chengachenga hizi za star tv na update zinazokuja hapa jamvini na siyo kutudanganya hapa