MBOWE ANASEMA; nimempigia jaji rubuva akiwa afrika kusini pritolia nikamwambia thibitisha ubinadamu wako. mwaka 2010 waliandikishwa watu 147000 lakini walipiga kura watu 60000 sababu ya unyanyasaji wa sheria za kipumbavu. chadema tunasema hii tutaiweka katika katiba mpya na tutasimamia. kikwete unanisikia, polisi wameleta magari zaidi ya 40 arumeru. mandela alisema wakati yupo mahakamani 1964 akituhumiwa kwa uchochezi akisema,"serikali inayotumia nguvu za kijeshi kuweka mamulaka yaka inawafundisha wanao