Acha kuhadaa watu....wana jf wanataka link ambayo wanaweza kusikilioza live na siyo hicho kipande cha dk 2 kilichorekodiwa...kama hauna suluhisho la jinsi ambavyo watu wanaweza kusikiliza live online uwe wazi!!!!!
acha tuendelee na chengachenga hizi za star tv na update zinazokuja hapa jamvini na siyo kutudanganya hapa
Mkuu siipati inaniletea option ya kudownload na itachukua kama masaa 7 na dk36,naomba msaada wako.kuna mtu anapata shida kusikia hii kitu online?....kama yupo aseme tumpe msaada......
namsikiliza lema kwa sasa....
Mkuu siipati inaniletea option ya kudownload na itachukua kama masaa 7 na dk36,naomba msaada wako.