Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Mchungaji Msigwa
Online wako off air nimetoka kutafuta sasa hivi, tupeni updates hapa tafadhalini mnaoangalia live
Mkuu mpe heshima aliyezipiga picha hizo.Yafaa uandike kwa hisani ya mtandao uliozitoa picha hizo.Huku ni kuiba kazi za watu bila hisani yao.View attachment 48991View attachment 48992View attachment 48993View attachment 48994
Words in pictures USA RIVER LEO
kuna mtu anapata shida kusikia hii kitu online?....kama yupo aseme tumpe msaada......
namsikiliza lema kwa sasa....
kuna mtu anapata shida kusikia hii kitu online?....kama yupo aseme tumpe msaada......
namsikiliza lema kwa sasa....