Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Edson pls nisaidie nataka niisikie online now, nisaidie nifanyeje maana Chadema TV now iko off air


maelezo ni haya:


Nenda kwenye Start,
All Programs,
Select Window Media Player,
Bonyeza Control "U" weka Link hii..
http://199.16.186.44:8523/stream?.wma




ikigoma tumia vlc...click media then stremining then copy hiyo link na weka hapo....ukifanikiwa gonga like
 
mkuu kilewo mbna ninapata sauti ya kamanda lema kwa muda thn inakata au kunakitu nimekosea?
 
wana arumeru wanaambiwa wasifanye makosa....maana serikali ya ccm ni taifa lisilotenda haki na matoke yake ni dhambi na maangamizo kwa taifa
 
wana arumeru wanambiwa wana arumeru wale ccm lakini walale chadema
 
Lema hakumtaja siyoi,kasema mbunge wa ccm.afu mnaofuatilia kupitia tv msiupdate je kama tv inawadanganya.tuachieni tuliopo 0 distance hapa
 
ujumbe kwa tume ni kwamba tume itende haki na iache kutumiaka........watende haki maana walikuwa kiapo
 
Dah ndo nimewasha tv nw naona mchungaji mb wa karatu anawapa ujumbe tume ya uchaguzi
 
Heche anasema polisi Mukifanya upendeleo kwa ccm na sisi tutaonyesha kwamba hatutaki kuonewa. vijana wa chadema ni watulivu lakini hawapendi kuonewa. Mch. Natse anasema; viongozi wanao ongoza taifa hili hawatendi haki. Taifa lisilotenda haki matokeo yake ni aibu kwa watu wote. Munayo fulsa nzuri ya kuiacha ccm bye. tume ya uchaguzi/Damian rubuva, ni iman yangu kwamba mtajithibitisha kwa watanzania. polisi simamieni haki. simama angalia wachezaji wacheze, hatuhitaji silaha wala maji ya kuwasha. cdm tutashin
 
amemaliza natse mbunge wa karatu meneja kampeni...sasa anaitwa vicent nyerere
 
Simwoni Mwigulu au yeye atakua wa mwisho kutoa salamu?
 
Wakuu picha zinagom net inaonekana iko slow sana.....ikikaa vizuri nitarusha
 
visent nyerere anasema; mimi ni mpole lakini si mnyonge. cdm unapiga kura na kuzilinda,ccm ni unachukua unaweka waa. unaweka bila kupiga? mwaka huu imekula kwao. Polisi nao wamechoka, tumeongea nao wamekubali kutuachia mpira tucheze na ccm.asanteni
 
Back
Top Bottom