Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

juu5.jpgjuu6.jpgjuu7.jpgjuu8.jpg
Words in pictures USA RIVER LEO
 
Losambo wee noma,nipo hapa kwenye helikopta.network imenitesa mda mrefu.chadema noma.red brigade wapo kazini polisi ccm wanakodoa macho,nyomi inazidi kumiminika
 
Nimemwona mpaka msimamizi wa uchaguzi trasias kagenzi yupo na STK moja ivi pembeni ya madarasa ya shule hii ya legana,usa river.anasoma ramani,kisheria anayo haki kuhudhuria coz ndo msimamizi
 
Nimekubali wakuu bwana ka antena kangu kunguru katua kameharibika ngoja nitengeneze haraka nisipitwe na uhondo huu wakuu.
 
Mkuu, mbona Ezekiel Wenje, Mbunge wa Nyamagana ni Mkenya na watu wamempa ubunge.
kuwa mwenyeji wa mpakani sio kuwa wewe ni raia wa nchi fulani. Halafu kama Wenje angekuwa mkenya magamba wangekata rufaa mapema sana. Chunga maneno yako penye ukweli usiingize vitu vingine
 
Jamani, hivi ni kweli STAR TV watarusha hii kitu au ni longolongo tu?
maana naona hapa wameweka tamthilia zao za wakinamama mushika
 
Back
Top Bottom