YaaaahNyama za punda
Hii original kabisa sa huo mguu ndio chachandu ama?😁
Asee mpie ni mdau mkubwa sana wa hizi kitu. Hizo nipewe hata na maji tu ya baridi. Natafuna safi kabisa
Picha hazifunguki kwenye App nashindwa hata kula kwa macho jamani