Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
Wapi?Ndiyo
Wapi?Ndiyo
Maporini humo ninamopitaWapi?
Natafuta mbegu zake ili nilime hili zao kwenye bustan kwa ajili ya matumizi yangu lakini sijui nitazipata wapi.Maporini humo ninamopita
Labda kama nimeyafananisha
Kwani majani yake ukipandikiza hayaoti?Natafuta mbegu zake ili nilime hili zao kwenye bustan kwa ajili ya matumizi yangu lakini sijui nitazipata wapi.
Duh!Sijafahamu kwa kweliKwani majani yake ukipandikiza hayaoti?
JaribuDuh!Sijafahamu kwa kweli
Halafu chai yangu ninayokunywa huwa natumia majani fulani hivi,majani pori ambayo pia ni mazuri kwa afya.Siyo ile chai yako nyeusi ambayo huwa unakunywaga,hapa anazungumzia mint teaView attachment 1862579View attachment 1862580View attachment 1862582View attachment 1862583
Natafuta mbegu zake ili nilime hili zao kwenye bustan kwa ajili ya matumizi yangu lakini sijui nitazipata wapi.
Kwa kweli ndiyo maana nazidi kukondaNkamu hebu ongeza wali ndiyo maana hunenepi.
Chakula changu pendwa hiko
Kwa kweli ndiyo maana nazidi kukonda
Hapo nlikunywa tu uji asbh.
Nafanya diet ya mauaji bila kujijua.
Mimi mvivu mno kula.
Bora ungenipa pole..hongera kwa kweli, natamani ningekua mvivu kula ila mwee nina apetite ya kutosha
"Nyama choma for everybody!"... (in konde's vioce) 🤣🤣🤣Konde boy mjeshiView attachment 1862745
Zinapatikana wapi mkuu?Nunua mint iliyokomaa ile ambayo hawajakata Kwenye mizizi
Pandikiza kwenye pots umwagilie maji ya kutosha
Yanaitwaje?Halafu chai yangu ninayokunywa huwa natumia majani fulani hivi,majani pori ambayo pia ni mazuri kwa afya.