Uzi wa vyakula tu

4a22ae92-f038-46ec-8ab2-66cbc8785b68.jpg
 
hongera kwa kweli, natamani ningekua mvivu kula ila mwee nina apetite ya kutosha
Bora ungenipa pole..
Hiko chakula kilitaka kunishinda kumaliza.

Na kilo zangu ni chache,haziniruhusu kuzembea kula.
Naanza kulazimishwa kula kwa nguvu

Jitahidi usile Mara kwa mara,,siku nyingine unafunga tu.
Punguza kiwango Cha chakula,kidogo kidogo utajikuta unazoea.
Mimi nimezoea kufunga,sometimes huwa nakula usiku tu hata wiki nzima na Naona kawaida tu.
 

Similar Discussions

64 Reactions
Reply
Back
Top Bottom