Uzi wa vyakula tu

Adjustments.jpg

Kutoka jikoni kwangu
 
Nataka kujaribu hii.

Recipe... Steak and roasted potatoes.
View attachment 1580499
Potatoes ,oil,salt and pepper
190 -16 min in oven.
Nyama chukua ingredient za potatoj
Ongeza vinegar or lemon,chilli flakes,tomato sauce not must,soya.
Mix then vingirisha nyama humo whole big piece1 hr or overnight.
Bake 125 -45 min then 195 - 15 min
60 grade in temperature before cut.
Iache itulie 10 min.
Then slice it,you get that on picture.
Sprinkle chopped parsley after🍻🍴
 
Potatoes ,oil,salt and pepper
190 -16 min
Nyama chukua ingredient za potato
Ongeza vinegar or lemon,chilli flakes,tomato sauce not must,soya.
Mix then vingirisha nyama humo 1 hr or overnight.
Bake 125 -45 min then 195 - 15 min
60 grade in temperature before cut.
Iache itulie 10 min.
Then slice it,you get that on picture.
Sprinkle chopped parsley after
Shukrani.
Nipo kwenye maandalizi.
 
Pesa sio ishu, ishu kujiachia... Nyumbani full kujiachia tofauti na huku.
Unamaanisha nini kujiachia? Lockdown ama!

Hili litaisha soon...

Kama nikujiachia mbona naona Mzansi kuna maisha kuzidi Bongo....ilimradi uwe connected tu na watu wema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom