

Mdogo wangu mpendwa Saint Anne karibu tupate tam tam na tuendelee kumwabudu mungu katika roho na kweliView attachment 1582951


akhsante Kakaila mimi kaka yako ni Mkurya pure,nikikutoa out ni mwendo wa kutembea kijeshi.Zile mbwembwe za watoto wa kisasa ni hakunaakhsante Kaka
Siku moja nitoe out basi
ila mimi kaka yako ni Mkurya pure,nikikutoa out ni mwendo wa kutembea kijeshi.Zile mbwembwe za watoto wa kisasa ni hakunaView attachment 1582970



Ohoooo😋😋😋😋😋hii mboga imeustua moyo wangu nipate na ugali wa dona 🙆♀️ Sitojali kama Ina kiwese cha maana 🤪🤪
Rafiki ukiipata hiyo kwa dona utazidi kuwa na guu la Taifa!Ohoooohii mboga imeustua moyo wangu nipate na ugali wa dona
Sitojali kama Ina kiwese cha maana
![]()

Behaviourist hujawahi ishiwa na neno.Rafiki ukiipata hiyo kwa dona utazidi kuwa na guu la Taifa!![]()
Mambo vipi Mzee wa gugli?Mdogo wangu mpendwa Saint Anne karibu tupate tam tam na tuendelee kumwabudu mungu katika roho na kweliView attachment 1582951
Mkuu naona umefufuka ghafla!Mambo vipi Mzee wa gugli?
Mkuu naona umefufuka ghafla!
Itakuwa alianza kula huku ana uzingizi,si unaona hata hakajala sana.