The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
😃Ai Jamanii, napenda tu ndizi nyama
Happiness hakika utakua mchaga
Happiness hakika utakua mchaga
Ai Jamanii, napenda tu ndizi nyama
Mhmh sawa, basi utakua wa kanda ya ziwa😂😂😂😂 haa bora nikubali Kaskazini yaishe![]()
![]()
Mhmh sawa, basi utakua wa kanda ya ziwa
And what wl u call this menu??View attachment 1570782
Jana hii
View attachment 1570783
Leo nikale wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tupo jirani kabisahaa bora nikubali Kaskazini yaishe
Hii mboga na ugali ni tatizo
Kwa nini mkuu?Hii mboga na ugali ni tatizo
Sikipendi hiki chakula mwenzenu nakula nisife tu
Lizzy unaonekana unapenda ubwabwa kama mimi
Aisee kwanini?Sikipendi hiki chakula mwenzenu nakula nisife tu
Swali lako linafikirisha sanaAisee kwanini?
Hamna mbona rahisi tu,Swali lako linafikirisha sana
Kwa mfano ungekuwa wewe ungejibu vipi?Hamna mbona rahisi tu,
Vingine nnavyopenda vinatia uvivu kupika 🙈🙈Lizzy unaonekana unapenda ubwabwa kama mimi
Mboga pekee ya kulia ubwabwa ni maharage tu baaasVingine nnavyopenda vinatia uvivu kupika
Alafu uzuri wa ubwabwa waeza kula na mboga yoyote.
na hapo ndio unakuwa umefanya matumizi sahihi ya mchele
🤝🏻🤝🏻🤝🏻 🙂🙂Mboga pekee ya kulia ubwabwa ni maharage tu baaasna hapo ndio unakuwa umefanya matumizi sahihi ya mchele
![]()
Rojo moja matataKwa nini mkuu?
Ningejibu sili chakula hicho au sipendi chakula hicho kwasababu hii na hiiKwa mfano ungekuwa wewe ungejibu vipi?