Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Sharp sharp mkuu...naona unaogopa kufunguka.Yes.
Sharp sharp mkuu...naona unaogopa kufunguka.Yes.
Wapi nimesema sili? Nimesema sipendi, kutokupenda kuna sababu? Let's sili nyama kwa sababu inanidhuru...nitasema sipendi nyama au nitasema sili nyamaNingejibu sili chakula hicho au sipendi chakula hicho kwasababu hii na hii
Oh!nilikosea kumradhi.Wapi nimesema sili? Nimesema sipendi, kutokupenda kuna sababu? Let's sili nyama kwa sababu inanidhuru...nitasema sipendi nyama au nitasema sili nyama
Umenikumbusha mchemsho wa Sokota pale! Dah!!



Nimekaanga viazi pembeni,na mboga nimeiweka rost na nikaikausha vile vile na mchuzi then nikavichanganya vyote mwishoni.Umevipikaje hivi vina vutia. Tupe ingredients
Yummy yummyView attachment 1580251
Kutoka jikoni kwangu
Looks delicious
Kabla ya kupewa nilikuwa na yangu mkuu ila nishukuru pia kuna nilichukua kwa jamaa.Looks delicious
Vip ulifuata ile recipe uliyopewa na mdau au umeongeza ujuzi wako!?
Hujawah niangusha kwenye ubora
GView attachment 1550435
Breakfast