dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,409
- 19,430
Duh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujueUnaonekana tu kwa macho kuwa ni mtamu..Ila uko kiduchu Sana..mie nisingeshiba.
Duh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujueUnaonekana tu kwa macho kuwa ni mtamu..Ila uko kiduchu Sana..mie nisingeshiba.
Huo wali upo kidogo mnoDuh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujue
Angalizo usije pata kitambi, na kwa mdada haipendeziHuo wali upo kidogo mno
Hapo mkimaliza ni mashuzi tu,bwii,kabooooom,pratatatatr fyuuuuuuu kitkatkitkat 😀Hii inaitwa mtoto atumwi dukani
#NdondolawikiendiView attachment 1464773
Hahaha! Duuh!Hapo mkimaliza ni mashuzi tu,bwii,kabooooom,pratatatatr fyuuuuuuu kitkatkitkat
Angalizo usije pata kitambi, na kwa mdada haipendezi
Hmm! Nitaaminije sasa
Nina kitumbo kiduchu hadi najishangaa
Hivyo hivyo tu mkuu...Hmm! Nitaaminije sasa
Aah mi simo hapo Kandahar ni mabomu tu 🙃Hahaha! Duuh!
Hmm! Kila lakheriHivyo hivyo tu mkuu...
Ndiyo maana nataka niongeze ujazo wa chakula walau nijaze tumbo kidogo
Akhsante bossHmm! Kila lakheri
naomba recipes ya chapati zako
Ahaaa asante..chapati zinasumbuaga kweliNakandia na samli ya aseel na chapati hazina recipe ya hivyo ni ukandaji wako tu nakandia maji ya baridi na chumvi na samli bs
Ahaaa asante..chapati zinasumbuaga kweli
Vp kuhusu unga wanasema sijui azam ppf ndo inatoa vizuri,,ni kweli?
Hiki chakula