amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,103
- 30,992
Sikushindi weweMama wawili wewe ni kiboko walahi!
mama wawili
Sikushindi weweMama wawili wewe ni kiboko walahi!
Sikushindi wewe
mama wawili
Superwomen,mpe salamu shemeji anguNimejaribu kupika lime cake kuunga juhudi za kupambana na corona View attachment 1459484
mama wawili
Mgeni wewe inaelekea unakuja kufata mahanjumati.
mama wawili
Hmm hiyo ndizi imepindaLeo nakula ndizi mbili nikimaliza kula hii nakula na ile nyingine View attachment 1459675
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah! Ni mtu huyo bana sio kibokoMama wawili wewe ni kiboko walahi!
Ijumaa Careem watu wote wa forum hii!Aah! Ni mtu huyo bana sio kiboko
ᵃʳᵉᵉᵐ
Picha iko wapi?Mimi na ugali dagaa roast na pilipili nimelogwa sio bure nikiuona mate yananitoka
View attachment 1460130
Picha iko wapi?
ᵃʳᵉᵉᵐ
Mimi na ugali dagaa roast na pilipili nimelogwa sio bure nikiuona mate yananitoka
View attachment 1460130