Tambi za kawaida bila sukari.
Nilikula mahali, zina vipande vidogo vidogo vya nyama. Tamu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Spaghetti mkwe?

Mambo ya kujing'ata ULIMI hayo
Haya MAHARAGE mbona hayana ROJO?
Hii BIRIYANI imepikika
ANDAZI limekandwa na kukandika haswaa.
ANDAZI limekandwa na kukandika haswaa.
ANDAZI laini, yaani linachambuka vizuri unapolikata.
ANDAZI Hilki imekolea.
Hongera nyingi zikufikie MPISHI wetu
Sijambo Dada.
Sijambo Dada.
Vipi na wewe Umzima?
Wikiendi
Hahaha! Nimeingia chamazi hiyo kamandaHaya hayajawai kuwa mambo yako..
Nanaa
Sawasawa mzee,finya vitu..
Balaa na nikimaliza nalala nje kwenye mkeka upepo mwananaa
Balaa na nikimaliza nalala nje kwenye mkeka upepo mwananaa