Uzi wa vyakula tu

huwezi sababu mwembamba
ungekua chinene ungeweza.

mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi
89
...
Jitahidi tahidi angalau zifike 75.

Mimi nadhani hata nikija kunenepa hiyo diet sitaiweza

Bora nifunge ijulikane tu nimefunga,
Ila diet ya kunywa maji pekeyake au yai moja na karoti
sijaijaribu bado Nkamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…