Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Emir wa uzi!🤗🤗🤗View attachment 1796112
Maandalizi ya siku!
Emir wa uzi!🤗🤗🤗View attachment 1796112
Maandalizi ya siku!
Pale kwa Mungure?Nazipenda sana kande
Shule tulikuwa tunaweka peanut butter kutafuta ladha


Oh sawasawaTunachanganya ili kupata virutubisho vingi zaidi.






Ole wako nikukamate!😄😄😄Oh sawasawa
Akhsante kwa darasa zuri
Uwe unashinda hukuhuku kutundisha haya mambo,Kule kwenye siasa kunakuharibu akili
Sent using Jamii Forums mobile app



















Usinitishe bwana wee.
Wewe huoni kama kule unakuwa kituko?
Kumbe una akili namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app




Nina picha ya babe wako na nina hamu sana ya kuipost!🤗🤗🤗
Toa picha lako huko
Linatuharibia uzi wetu pendwa wa misosi.
Ukiendelea kunitisha namwita babe.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah, hivi vitu mkoan havipo kabisa aisee
