Uzi wa vyakula tu

niliagiza China
ni nzuri nikiwa sijisikii kukaanga nakata kila kitu natia spices nafunika
nanyoonya miguu
narudi nageuza juu chini
nafunua tayari kwa kula
😋Nimeona video mahali hutumii mafuta ya kuongeza hata kidogo. Ilikugharimu shingapi kuagiza mpaka unaipata mkononi?
 
haihitaji mafuta kabisa
nilijaribu kuweka yakawa yanatatarika kama chumvi motoni

ilifika kama 33,000
ila pia agiza Zanzibar baada ya Eid nitamwagizia Mama yeye hawezi kusubiri kutoka China,
Shukrani madam kumbe bei nafuu hivyo. Itabidi tufanye mpango uagize mbili.
 
Misosi yake mingine ya kiswahili vipi,iko fresh?
Mmmh.ni balaa yule dada anajua aisee...yuko updated sana kwenye misos...ingawa sjaenda tena

Sio mpenZ sana wa ma desert..na pia ilr venue yake ya zaman ilikua si rafiki kwenda na beibe...
 
Screenshot_20210513_141815.jpg


Screenshot_20210513_141842.jpg


Screenshot_20210513_142309.jpg


Screenshot_20210513_141921.jpg


Screenshot_20210513_141947.jpg


Screenshot_20210513_141710.jpg


Screenshot_20210513_141728.jpg


Screenshot_20210513_141642.jpg


Screenshot_20210513_141618.jpg


Screenshot_20210513_142054.jpg


Screenshot_20210513_142030.jpg
 
taste na ya Dotscup nayo ni balaa
Unajua..watu wanazikoseaga hzo..kuna ambao huwa hawa bance sukar..inakua na misukariiiiii...sasa kwa sie wanywa pombe huwa inakua tabu.ila ukikutana na mjuzi..aisee anaibalance sugar unaweza shangaa umeimaliza yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom