Uzi wa vyakula tu

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipindi bado niko kwa Bimkubwa nilikuwa napenda siku akipika futari ya maandazi kwa maharage then pembeni kuna chai ya tangawizi/chai ya maziwa iliyokolea hiliki au uji wa mtama uliokolea pilipili manga! Nilikuwa nakula mpaka naisahau shibe yangu! [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Kudadadeki, simba mwanaharamu kweli huyo, yaani kaua mama na mtoto bado amemshikilia mamake tu, hakana choice, kataliwa ka bubblegum hako katoto, gaddamn!!!! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mimi imeniumiza sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…