Mr.laravel
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 471
- 514
Nadhani itakua kumekucha hii.![]()
Kama unaishi sinza utakuwa unajua sehemu hii maarufu ya mbuzi
Nadhani itakua kumekucha hii.![]()
Kama unaishi sinza utakuwa unajua sehemu hii maarufu ya mbuzi
Hapa nimepaelewa...sitoki leteni na kuku wa kukaanga mkuu.
Ugali wa njano?View attachment 686244nakusongea ugali
Ndio hujawai kula?Ugali wa njano?
Ushanichanganya hapa sasa......na nipo jimkoa la baridi
Uma na kisu vinatumikaje hapo....?!
Nilikula enzi nasoma seminary,sikuwahi kuupenda huu ugali!Ndio hujawai kula?
Pole weeee!Ushanichanganya hapa sasa......na nipo jimkoa la baridi
Mbona chips nyingi hivo
Wangapi mnaijua hii?