Hata sio jitihada zangu hizo wifey π₯΄π₯΄ Ila ntamfikishia dada sifa zakeππDahh!Mme kwa kupika unatisha sana!πππ
Home kabisaa yaan daaah, boga afu ndo wakati wake huu.
Hujawahi niangusha dea lol.
Minyoo imeruka kwa nguvu tumboni, hasa hizo njegere.
Jamani mate yamenitoka hapa, nimekumbuka home wallah.
Yes bossHiyo pilipili umetengeza mwenyewe
Unakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa!πππHome kabisaa yaan daaah, boga afu ndo wakati wake huu.
Unakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa!