Lizzy never dissapoint
Peke yako mkuu,
Peke yako mkuu,
Mkuu wewe ni mlafiNdio mkuu... huwa nakula mpaka nichoke kutafuna
Mkuu wewe ni mlafi
Haya matunda yanaonekana mabaya haya sujui ladha yake itakuwaje.
Natokea dodoma ila sijawahi kuyaona tangu nizaliwe
Utajua tu watu walaji wa kuku, ila mini kidari nakifurahia sana vimfupa na pia huwa ni kubwa, kidari kilichochomwa au kukaangwa ni kwikwi
Nahitaj pesa kiasi gani ili nikifika zenji maeneo mazuri mazuri sehemu za kulala nzuri, nipate hata boti nizunguke ziwani, nile vyakula vitamuuu yani nile nijigalagaze, niinjoi, nipumzishe akili, nifurahi vilivyo nikitoka hapo memories zibaki kichwani kwa siku 14 kwa hesabu ya watu wawili, hebu nishawishi utalii wa ndani
Hoteli za zenji zinaendaje kwa doubleTayarisha kama 1M chenji inaweza ikabaki
Mhmhhhh sante upo vizuri
Hoteli za zenji zinaendaje kwa double