Hii menu inauzwa wapi?
Mitaani tu mkuu..usichoke kupitapitaHii menu inauzwa wapi?
Maana ni hatari na nusu


Hii ya kubuni sjawai hii.ntajaribuView attachment 1585299
Omelette na brocolli karibuni
halafu kuna sizzling pumbu za mbuzi pale balaaa 🙌🏾😆Umenikumbusha mchemsho wa Sokota pale! Dah!!![]()
We babu wewehalafu kuna sizzling pumbu za mbuzi pale balaaa 🙌🏾😆
Ninyi watu ni mafala sana!
Weee hebu tulia kijana, kwahiyo wewe sio kijana wa kwio,Hapa bado kachumbari au tomato ketchup.