Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20200920_165852.jpg
 
Duuh wewe ni mwembamba sana... mimi tu urefu wangu 5.5 nina kg60 ila bd niko mwembamba
Ndiyo
Mimi mwembamba..ndiyo maana najaribu kutafuta mbinu za kuongeza mwili.
Nikirudisha 60 zangu Basi sihangaiki tena
 
Back
Top Bottom