Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,845
- 225,654
Alienda mbali akaweka pichaSijui kwann kafuta hiyo comment yake wakati ni ya msaada kwelii
Na kweli amefaulu zoezi la kupunguza mwili
Nimeona picha yake,tips alizotoa hapo juu kweli zinafanya kazi..nakushauri dada fuata ushauri wake na matokeo utayaona.
Mimi pia nikaweka...kuna raia hawajapenda hii kitu ndiyo maana amefuta kila kitu.