Leo mimi bila bila
Balanced breakfast
Yes
Kweli chips
ni mbogaChipsSipendi chips.. nilichukua kidogo nione kama nitaweza
kavu lazima uzichukie.Umeshiba?
kwa hiyo huo ubwabwa na sato umepika mwenyewe?Sijui pika..
BTW hua sili chips na ndizi.
Ndio najaribu hvo
Ijumaa nina order sahani za biriani kama zote jitayarisheMgo jwa waendeleaje?