Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Unaonekana ni mtu mmoja ambae huna stress za maisha
Toa yako ili nikwambie Kama unaweza kunifikia au hapana.
Nitunzie kidogo
Wewe huwa unakula mkia?Kwanini umemkata mkia samaki?!
ᵃʳᵉᵉᵐ
Hivi unajua unaweza ukadhania au hisi wewe ni mbaya kumbe ni mremboohakuna mwanamke asiyependa umbea.
Asili ya waha!??umenisingizia jamaniMimi si mbishi hata kidogo ila naongea ukweli.
Kotekote ni karibu na kwa mpembaKipi kati ya hapo??
Jf tunaogopa kweli kweli
HahahahaToa yako ili nikwambie Kama unaweza kunifikia au hapana.
AiseeeMwanangu anapenda sana keki.
Ninapika kwa ajili yake.
Na leo imeshaisha
HAKI YA NANIKotekote ni karibu na kwa mpemba
SijaelewaHivi unajua unaweza ukadhania au hisi wewe ni mbaya kumbe ni mremboo
Ndio kinachokutokea sasa
Napenda sana, hivi umeshawahi kunywa chai ya maziwa iliyowekwa majani ya mhiliki(mti wa hiliki)?Na ikolee majani ya chai.
Unapenda eee? Nitakualika siku moja.
Hawa radha yake kama sanene??
Sijawahi kujaribu eti.Weka na peanut butter utanoga zaidi
Nimehesabu mabakuli pamoja na mboga za nje, zipo sitaKwenye bakuli kubwa jeupe ni mchuzi na nyama angalia vizuri kamanda
Unakosa uhondo weweHuu umenishinda mimi
ᵃʳᵉᵉᵐ
Asiyejua maanaSijaelewa
Mbona hutoi sasa