Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20200530_142156_1.jpg
 
Nyie wenyewe wataalamu wa afya mnatuambia tule vyakula vya kuteleza kukomesha madonda
Sasa Mimi madonda ya tumbo yatanikoma..nakula bamia kila muda,hapo nakunywa Hadi Yale maji yake
nakutania mrembo..enjoy milenda yako
 
Back
Top Bottom