Ulcers zimenibana rafikiPole uliugua nini?
Daah! Pole mpendwa, jitahid uwe unakula kwa wakati, punguza mawazo piaUlcers zimenibana rafiki
AsanteeDaah! Pole mpendwa, jitahid uwe unakula kwa wakati, punguza mawazo pia
Itakuwa vizuriAsantee
Nitajitahidi rafiki
Sasa huo ni ubaguzi, ila kiukweli hata ugali siwezi kula na kijiko!Hahaha! Mimi pilau huwa ndio nalia mkono bro na ndio nahisi ninatosheka
Duh! Kumbe ni wewe mwenyewe pole sana. Ni peptic au gastric?Amen
Acha uchokozi wengine tupo kwenye الستة الشوال
Hahahaha!Sasa huo ni ubaguzi, ila kiukweli hata ugali siwezi kula na kijiko!
ᵃʳᵉᵉᵐ
Acha uchokozi wengine tupo kwenye الستة الشوال
ᵃʳᵉᵉᵐ
Hahahaha!
Sio ubaguzi ni mazoea yanajengeka muda mrefu,
Aisee! pilau ni habari nyingine hasa lipikwe na mikono sio miguu
Weka mbali na majirani maaana
ᵃʳᵉᵉᵐ
AmenItakuwa vizuri
Mungu akufanyie wepesi!