Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1588099311_1588099311-picsay.jpg
 
Sasa hiyo si unafunga safari kwenda shamba ndipo ukampate huyo kuku, lakini mjini ni kitu full suit. Unaijua Full suit?


*Full suit = Ugali wa muhogo, mboga kisamvu na uji wa unga wa muhogo ( Maeneo mengine wanaita Babu Baba na Mjukuu)

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
Hahahaja sawa mkuu, hivyo maisha mazuri na misosi mizuri ipo vijijini
 
Hili pilau mbona kama maji yalikuwa mengi??

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
Hadi maji umeona, wejamaa noma sana utakuwa una macho ya Eagle
 
Back
Top Bottom