Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,663
- 50,968
Hii inaitwa ku boost enzymes wafanye kazi ya kutia njaa.....Kutamanishana tuu
Hii inaitwa ku boost enzymes wafanye kazi ya kutia njaa.....Kutamanishana tuu
Haya nasubiri mrejesho![]()
Juice hiyo hapo, karibuni chakula.![]()
Ile nyingine nimegandisha.
nimetamani uwiHii hata mimi naweza kutengeneza jamani loh nitakula kwa macho hadi liniEmbe lililoiva, parachichi na vanilla kama unayo(sio lazima). Una blend pamoja, unaweza kunywa kama juice au kugandisha kama nilivyofanya hapo
Ngoja nikifika home nikuoneshe jinsi ilivyoganda utraaamHii hata mimi naweza kutengeneza jamani loh nitakula kwa macho hadi lini

Sio arage Mkuu?Hindi hilo![]()
Kitu harageeee