Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Tuko busy kidogo na mambo ya diet!
Weight%20loss.jpeg
 
aisee , nitaitafuta hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
mimi siku nikitafuta mke, kigezo kitakua kwenye haya mambo, sura nitavumilia tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
hizo sambusa sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
😈😈😈 kwa hiyo wewe ni mwanaume 😇😇, ndo mana wanawake wengi siku hizi wanalalamika hamuwatoshelezi, mnakula vyakula vya mamiss unategemea nini. 🤒🤒🤒 wake up
 
Back
Top Bottom