Sawasawa,ngoja wanaume wa mkoani tupate lunchKaribuni tumfinye mchawi..
Fish foodView attachment 1301194View attachment 1301196
Sent using Jamii Forums mobile app
Una kaanga viazi au ku vi bake baadae utavichanga/ vuruga pamoja kwenye sauce uliyopika kwa kutumia vitunguu,nyanya,ginger&garlic na mboga mboga zingine na viungo kwa chaguo lako@cadey hicho kiazi unapikaje?
Nimependa chakula.....
Shukrani...nitajaribu leo.Una kaanga viazi au ku vi bake baadae utavichanga/ vuruga pamoja kwenye sauce uliyopika kwa kutumia vitunguu,nyanya,ginger&garlic na mboga mboga zingine na viungo kwa chaguo lako
Wazima hapo upareni??
Uko kigoma bila shakaKaribuni tumfinye mchawi..
Fish foodView attachment 1301194View attachment 1301196
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah man toka nimefika nakula tu hao dagaa wabichi. Nadhani hadi nitoke huku nitatoka shavu dodo..