komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,352
- 1,933
Hahahaaa hatari sanaAah wapi sitii mguu wangu kule
Hahahaaa hatari sanaAah wapi sitii mguu wangu kule
Chakula cha hivi huwa kitamu balaa
Nina wasiwasi na hii kitu mbona unakorogea kisu

Hiki nini tenaaa

mida hii, wali yai na mtindi..![]()

Mshana,huyo kamongo??nilimpenda baadae nikavunjwa moyo ati ni nyoka.nilimkuta kasha pasuliwa .hongera hata hvo.Leo napika mwenyewe View attachment 609839