MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,361
Kwenye hii idara nadhani wewe ni meja jenerali.
Hahaha, mzee hiyo sharubati si utengeneze mwenyewe kuliko kununua ya dukani ??? Halafu unapiga na matunda kabisa.....View attachment 1256448 mkuje na pilipili Kingsmann
Nguvu za kiume Baharia
Hayo matobo yanatisha, matobo yameshiba balaa!
Mimi pia huu msimu huwa naenjoy sana haya matunda.Nanasi ndio breakfast yangu sikuhizi mpaka msimu huishenapiga nanasi moja Kila siku asubuhi
uko vizuri