Nyama gani hii mrembo??
Nyama gani hii mrembo??
Okayng'ombe hiyo
Huo ugali ukikuta umemixiwa vizuri na huyo kuku pembeni unashuka balaa
Hii milking'amua kitambo sanaAngalia dp yangu
Sijui mimi ndio nimefikiria hivyo am ulimaanisha kuweka hilo andazi lenye tundu



Sijui mimi ndio nimefikiria hivyo am ulimaanisha kuweka hilo andazi lenye tundu![]()
Yaani wewe ungekuwa ndugu yangu ningekutoa zawadiHapana
Nimekujiibu. Fundi mitambo mwenywe.