Tatizo mke sasaYaani wewe unakula ubwabwa umenona hivi halafu unasema ubachela shida, wenzio wana wake hawawezi kupika hivyo


Tatizo mke sasa![]()
Wa kuja kuwa mfanyakazi wa ndani wa kujitoleaMpango gani? Naomba nikumbushe



Mabinti wote hawa unashindwa nini kujibebea,mmoja

acha uoga kijana
Umeona kilichotokea kwa Gwajima ndo nimechoka kabisa
Sio uoga inabid ujihami hasa kama mimi,bint unadhani mcha Mungu kumbe looh!acha uoga kijana

Sio uoga inabid ujihami hasa kama mimi,bint unadhani mcha Mungu kumbe looh!![]()
Ni kweli tahadhari muhimu. Tuletee msosi basi
Unakula Colgate pamoja na dettol?
😅😅 kwangu utapaweza kweli naishi UK (Uru Kishumundu)Wa kuja kuwa mfanyakazi wa ndani wa kujitolea![]()
Umenitisha uliponiambia UK, ila sio sana maana mi mwenyewe nipo UK (Ukonga)kwangu utapaweza kweli naishi UK (Uru Kishumundu)















🤣🤣🤣Umenitisha uliponiambia UK, ila sio sana maana mi mwenyewe nipo UK (Ukonga)
![]()