dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Kuwa mpole vizuri havitaki papara
Jr
uzi wa vyakula huu usitake tuanze kutukanana. Upole mbele ya njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ungejuwa ninavyopenda wali na mandondo,mate yeshanza kuntoka.
Yaani nna njaa we mshana na mpaka muda huu sijui hata nakula nini yaniLeo kweli una njaa
Jr
Subiri hapohapo!!!Yaani nna njaa we mshana na mpaka muda huu sijui hata nakula nini yani
Sent using Jamii Forums mobile app