Bro. Hizi chips utakuwa ume download Google. Asubuh yote hii.
Hata wewe unatumia hii Missyrose???
Safi sana, ukimaliza hii unapiga na kale kakonyagi kasichana. Niko vzr sana![]()

Hata wewe unatumia hii Missyrose???
Mhhh!! U-Miss upo kweli?? Na hii mboga ni shida sana kwenu kwa upande wa body fats!!Natumia kwa mbaali babu
Astaghafilullah..!!!!

Mhhh!! U-Miss upo kweli?? Na hii mboga ni shida sana kwenu kwa upande wa body fats!!
natumia kwa mbali sana, labda mara 2 au 3 kwa mwezi. Haijaathiri u-Miss wangu hahah![]()
natumia kwa mbali sana, labda mara 2 au 3 kwa mwezi. Haijaathiri u-Miss wangu hahah

Nyama zote hizo unakula mwenyewe
Huu uzi nitakuja nikiwa sina njaa