Mkuu hicho kifaranga au?
Msosi wa open bar huo
Dah...Parachichi kipande kimoja kiko wapi? Mbona halikamiliki😡😀😀😀😀😀
Dah...Parachichi kipande kimoja kiko wapi? Mbona halikamiliki😡😀😀😀😀😀
aiseePoa mkuu nitaku pmDah hebu tafuta muda tuonane mitaa ya Kiteshe tutete kidogo
Mkuu umeniwahiView attachment 606983kwa hisani ya Abbasfarudume
yaani wakati najiandaa nimekuta tyaari umeshapost!