missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
Hapo yalikuwa yamepoa na yalilika..maharage ya hivyo huwa yakipoa kidogo hayaliki sijui kwa nini

Hapo yalikuwa yamepoa na yalilika..maharage ya hivyo huwa yakipoa kidogo hayaliki sijui kwa nini

basi unamoyo sanaHapo yalikuwa yamepoa na yalilika..![]()
Tatizo la uzi huu wachangiaji wote wanakula vyakula vya kisasa. Sijaona vyakula vya asili vya makabila yetu humu.
lete wewe..mbona uzi huru huu.Umeniwahi..Lol.Mbona unakula mboga tuu
basi unamoyo sana

Ndio maana watu hatuishi presha,kisukari mara nguvu za jamii! Khaaa jamani tule hata magimbi, mbatata, kande, senene jamani nao ni vyakula, then dona sijaiona umuTatizo la uzi huu wachangiaji wote wanakula vyakula vya kisasa. Sijaona vyakula vya asili vya makabila yetu humu.
Uko vizuri
Hii yenyewe
Game ya kukesha tamu sana, inatakiwa mmoja aombe pooooh, so umemwandalia kiepe ili akose nguvuNataka leo Baba Debo akose nguvu za kunikamatilia kiuno, maana jana duh. Tumekesha.View attachment 964687




Mama Debo huyo wa kwenye avatar ni wewe?Nataka leo Baba Debo akose nguvu za kunikamatilia kiuno, maana jana duh. Tumekesha.View attachment 964687
Mama Debo huyo wa kwenye avatar ni wewe?
Nakusalim mkuu
Ahaha KWELI UMEMCHOKA.NAMUOMBA KIMOJA BASINataka leo Baba Debo akose nguvu za kunikamatilia kiuno, maana jana duh. Tumekesha.View attachment 964687
Bas huna macho mkuu vyakula vya kila aina humu vipo, mihogo , viazi, kisamvu n.kTatizo la uzi huu wachangiaji wote wanakula vyakula vya kisasa. Sijaona vyakula vya asili vya makabila yetu humu.