Hichi ulipost jana
Bila shaka hii ni ya kudownload ila ukasahau kucrop chini insta inaonekana vivile infinix haiwez kutoa picha kali ka hii
Tandoori chicken?
Si nimeona kitendeakazi hicho
Sasa ngabu inakuaje?Hiyo ni kitimoto tu.
Nimekosea?
NakusalimuSi nimeona kitendeakazi hicho
Mie mzima za kutokomea kusikojulikanaNakusalimu
Leo hii