mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
kwa picha hii nimekukumbuka, nilikua nakuchora muda huo!😊Leo nimekula hivi kwa Sele. Nilisahau kuwapa pichaView attachment 911833
kwa picha hii nimekukumbuka, nilikua nakuchora muda huo!😊Leo nimekula hivi kwa Sele. Nilisahau kuwapa pichaView attachment 911833
😂😂😂Mwana sinia lote hili ulimaliza peke yako? Ndio maana wanawake mnakuwa na vitambi
AiseeTunaianza siku hivi..pembeni kuna chai ya mdalasini View attachment 912471
Bora nikapate supu na chapati mbili kwa mama bongeTunaianza siku hivi..pembeni kuna chai ya mdalasini View attachment 912471
Mpka hichi umekitamani?
Kwanini manka?
.Tunaianza siku hivi..pembeni kuna chai ya mdalasini View attachment 912471
Unatumia simu mchina nn? Picha inatoka na maruerue
Unatumia simu mchina nn? Picha inatoka na maruerue

.... Punguza vurugu MadameKaribu Goba..Leo kwangu bila bila wadau, tualikane basi tusogeze wkend
Mpakani auKaribu Goba..
No..goba ndambiMpakani au