Duh had ww unamfaham ehWa gmboto?
Mimi tena, huyo anajulikanaDuh had ww unamfaham eh
Siku ya kwanza nlipokula chips zake niliziota usikuMimi tena, huyo anajulikana
Siku ya kwanza nlipokula chips zake niliziota usiku

aisee acha masiharamarahabaa..!! Kaa mkao Wa kula mishikaki hadi kuiachaShikamooo,nasubiri mishikaki yngu![]()
![]()
Cha rest fish park nn? Mfungo umeisha?
AiseeeSijapaniki kamanda,ila ukweli ulioandika
Hii ya kudownload pia
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula..OK sawa Je ni kosa? Angalia msingi wa mada unasemaje na maudhui yake
UNGEANDIKA DOWNLOAD AU SCREENSHOT INSTAPOPOTE PALE WEE TUPIA TUU... umeelewa hapo?