Uzi wa vyakula tu

Ila daslam bwana, wali kidogo hivi 2,500😅
View attachment 3647513
Hii ngoma na yule mmaza ilikua anauza 1500 tu mukurya yule.
Kwa heshima zote atatenga msosi km mkeo.
Na mimi kiungwana tu naagiza chips kuku mzima.
Kaa hapa tule lete na hiyo sahani na vikoromwezo vyoote.
Tunakula tunapiga story tunacheka hapo Akitaka kuinuka namkalisha tulia we waagize tu wenzio leo uko busy.
Yule maza buku 30 tu nampa alipiga magoti huku analia aisee.
Company tu(sijawai kugusia ngono)
Hiyo hela ya soda tu kitaambaa chekundu
Aisee huduma toka hapo ni Vvvvip yaani hata niseme sina kitu ntakula huo ubwabwa na nusu kuku safi kabisa.
Kesho nampa pale palipopungua
 
Maisha ya ukweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…