mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
Tumemiss pishi lako la tambi mkuu.Hii burger mwitu ๐น
๐น๐น๐น dah!Tumemiss pishi lako la tambi mkuu.
Naomba kuwa mgeni wako๐น๐น๐น dah!
Subiri weekend nataka kutengeneza strawberry basil na tambi. Stay tune
KaribuNaomba kuwa mgeni wako
Basil na tambi sawa lamomy strawberry tena humo utatuua.๐น๐น๐น dah!
Subiri weekend nataka kutengeneza strawberry basil na tambi. Stay tune
๐น Tambi zinapikwa peke yake hiyo strawberry basil ni mocktail bana babu..!!Basil na tambi sawa lamomy strawberry tena humo utatuua.
Umefanya nimemis nyumbani ghafra,hako kaugali kalivyokatwa,kipande cha samaki na mboga mboga๐๐๐๐๐
Ok ,then i know.๐น Tambi zinapikwa peke yake hiyo strawberry basil ni mocktail bana babu..!!
Kitimoto imenona